JUX - FIMBO LYRICS
kwanza kabisa thanks to the lord (to the lord)
Uzuri wako si wakudownload (wa Kudownload)
Unanishangaza kila siku mi sichokiii
mwingine kama weee mi sitaki
wewe ndio fimbo yangu baby
ongeza raha zaidi mami
nikuweke tu kabisa ndani
kwangu wewe ndio Burudani
wewe kiboko yangu baby
ongeza utamu zaidi mami
ni wewe tu tu baby
ni wewe
I'll give you everything (Unanivuruga),
I'll give you everything (Unanivuruga)
I'll give you everything darling, (Unanivuruga)
I'll give you everything (Unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki
funguo nikukubidhi wee
(I'll give you everything)
Nitakupa moyo wangu na noti,
Chochote unachotaka wee
(I'll give you everything)
Aaa Aaa
Aaa Yaah Yaah
Aaa Yaah Yaaaaah
Aaa Aaa
Aaa Yaah Yaah
Aaa Yaah Yaaaaah
Unarangi ya chocolate
Magnetic
Romantic
Jinsi ulivyo humble Baby, sexy
wanivutia zaidi
Kurudi Nyumbani late mi sitaki
(Kurudi Nyumbani late mi sitaki)
Sababu ninawivu moyoni ukiwa mbali
(Sababu ninawivu moyoni)
wewe ndio fimbo yangu baby
ongeza raha zaidi mami
nikuweke tu kabisa ndani
kwangu wewe ndio Burudani
wewe kiboko yangu baby
ongeza utamu zaidi mami
ni wewe tu tu baby
ni wewe
I'll give you everything (Unanivuruga),
I'll give you everything (Unanivuruga)
I'll give you everything darling, (Unanivuruga)
I'll give you everything (Unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki
funguo nikukubidhi wee
(I'll give you everything)
Nitakupa moyo wangu na noti,
Chochote unachotaka wee
(I'll give you everything)
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga Unanivuruga
my mama
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga Unanichanganya
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga
Yaani sioni sisikii
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga
yaani siwezi
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga
mama siwezi
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga
yaani mimi kwako sisikii baby
yeaaaah
Unanivuruga eeeh
Unanivuruga vuruga unaniii vuruga
unanichanganya changanya
Unanivuruga vuruga
Ukitaka kuangalia mashahiri au lyrics hizi kwenye video angalia hapa chini
No comments: