JINSI YA KUWEKA PICHA KWENYE NYIMBO (COVER ART) KWA VLC
Kwa
wale wanaomiliki blogs,websites,wenye music library na wengine wanaopenda tu
suala hili basi hii inawahusu kwani ni rahisi sana na haina mahitaji mengi zaidi ya pc na
software moja
tu.
kwanini
uweke picha kwenye nyimbo?,ukuiweka picha kwenye nyimbo itakusaidia
kukutambulisha na
ukafanya mambo yako yakae bomba, Kwa mfano ukiweka namba,jina la blog ama site
yako kwenye
hiyo picha basi watu watakutafuta kiurahisi na blog,site ama library yako
ikapata wateja
wengi zaidi.
kama
tupo sawa kwa hilo na umevutia suala hili basi soma hatua chache zifuatazo ili
na wewe uwezekufanikiwa
na ukafurahia suala hili:
MAHITAJI
Computer
Software
ya vlc media player
USHAURI
Kwa
urahisi zaidi angalia nilivyofanya mimi kwenye pc yangu au unaeza endelea na hatua ya maneno hapo chini baada ya video hii
HATUA
1...chagua
nyimbo unayohitaji kuiwekea albam picha(hata kama inapicha tayari usihofu kwa
hilo
na naomba samahani kwa alieiweka picha hiyo kwani picha yake itatoka),kisha
iplay na vlc
media
player
2...kwenye
vlc media player nenda toggle playelist inapatikana chini mbele ya option ya
next
tab
ya tatu option ya kwanza
3...baada
ya kufungua playerlist nenda kwenye nyimbo hiyo kisha bofya ctrl + i auright
click
kisha
nenda infomation then click enter itafunguka media infomation
4...hapo
utakuta taarifa za hiyo nyimbo kama title,artist,album....hadi cover art chini
ya
fingerprint
hapa pana picha yalogo ya vlc kama haijawekwa picha ila kama imewekwa picha
utaiona
picha hapo
5...right
click hiyo cover art shuka mbaka add cover art from file itaingia kwenye pc
yako
tafuta
picha unayotaka kuiweka kisha open ama double click.
6...bado
haujamaliza,itaonekana picha ulioiweka lakini bado haujasave sasa ili upate
option
ya ya
kusave nenda kwenye taarifa yoyote ya nyimbo hiyo mfano nenda kwenye title
andika
herefi
yoyote kisha idelete
7...wouw!!umepata
option ya kusave sasa nenda kasave kisha close hiyo window ya media
information
toka hapo kwenye playerlist kwa kubofya tena kwenye toggle to playerlist
wouw!!!tayari
picha inaonekana umefanikisha...
TAARIFA NZURI
hata
hiyo nyimbo iweke wapi itaonekana fanya kujaribu kuweka kwenye simu yako uone
matokeo,bado
haijatoka
kama
umeipenda hii fanya kulike,share post hii na kama kunatatizo usikose kukoment..
No comments: