Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za Mtandaoni kuanzia leo Jumamosi Aprili 21, 2018.
TCRA kuanza usajili wa wamiliki wa Blogu, Online Forums, Redio na Televisheni za Mtandaoni leo Aprili 21
Reviewed by Luka
on
April 21, 2018
Rating: 5
No comments: