UEFA Champions League robo fainali LEO
Wazungu wanasema 2nd leg kwa mara nyingine leo katika UEFA Champions League, Manchester City anakutana na Liverpool akiwa nyumbani. Je unadhani Man City anaweza kupindua matokeo akaingia Nusu fainali?
Barcelona leo akiwa uwanja wa ugenini akicheza na Roma mechi ya marudiano, Je unauzungumziaje mechi hii, toa maoni
No comments: