Alicho agiza Prof Kabudi Bungeni leo April 18, 2018
April 18, 2018 Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi aliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/19 zaidi ya shilingi Bilion 190 ikiwa Bilioni 48.9 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo na Bilion 141.5 kwa ajili ya mfuko wa Mahakama. Katika hotuba yake Prof Kabudi alilieleza Bunge kuhusu Serikali kutunga kanuni mpya za Mawakili.
No comments: