Cheka na vituko vya Shilole
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shilole ametafsrika kuwa ni mtu wa vichekesho na wengi kumuita comedian kutokana na vituko vingi ambavyo huwa anavifanya katika Television na hata kwenye mitandao ya kijamii na mara nyingi akizungumza lugha ya Kingereza.
Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost video clip fupi ambayo ikimuonyesha akijaribu kuimba kwa lugha ya Kihindi na kuwauliza mashabiki kama ameweza ili aweke kipande hicho kidogo katika ngoma yake mpya na wengi kuchukulia kitu hiki kama comedy kutoka kwa Shilole
Cheki hapa chini Shilole akiimba kwa Kihindi
No comments: